ATONU Job Aid - Tanzania-Swahili

Hakuna aina moja ya chakula inayoweza kukupatia virutubishi vyote kwa uwiano sawia, Kula vyakula mchanganyiko kila siku ili kuhakikisha unapata virutubishi vyote muhimu